Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha ya Diamond Platnumz na familia iliyomtoa Barnaba machozi
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Picha ya Diamond Platnumz na familia iliyomtoa Barnaba machozi
Mix

Picha ya Diamond Platnumz na familia iliyomtoa Barnaba machozi

February 11, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mwimbaji wa bongofleva Barnaba ambaye ni miongoni mwa waliotoka mbali wakifahamiana na Diamond Platnumz ameyaandika haya kwenye Instagram page yake leo baada ya kuiweka hii picha ya Diamond akiwa na familia yake.

“Ukweli nisiwe muongo kutoka moyoni hii picha inaongea mengi sana nimetazama machozi yamenitoka kabisa kwa furahaa sana, umoja ni nguvu kabisa mkishikana kwa kila matatizo na mkapambana kila kitu kinakua sawa”

“Matatizo ni mengi lakini mwanangu Rafiki Yangu @diamondplatnumz nakupongeza sana kwa kusimama na Familya yako kwa kila mitihani na mbali na mambo Yote ya binadamu na maneno masimango Kash kash za Hapa na pale“

Picha yenyewe iliyomtoa Barnaba machozi ya furaha

“unaonesha Upendo wa wazi na ni wachache wenye kukubali kubeba majukumu na ukubwa wa maisha ni kuyafata majukumu sio kuyakimbia Mungu akubariki Asante sana kwa mualiko pia nashukuru sana tuko pamoja mpaka mwisho mimi nakuombea na Mungu Akusimamie Amina uku mama uku mkwe uku ubavu wako kati Marafiki wako wa milelee watoto wako aisee “

VIDEO: Kwanini Diamond Platnumz hataki kabisa kushika simu ya Zari? tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Dakika za Diamond Platnumz, Zari na Mama yake Mzazi Johannesburg South Africa, tazama kwenye hii video hapa chini

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

TAGGED: bongoflevanews, Social media NEWS
Millard Ayo February 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kama uliisubiria post ya kwanza ya Wema Sepetu baada ya kuachiwa kwa dhamana
Next Article VIDEO: 40 ya Nillah wa Diamond Platnumz na Zari
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?