Leo February 15 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Bwown ametuletea U Heard inayohusu mwimbaji staa wa Bongofleva Barnaba kudaiwa kuachana na mke wake.
Kwa mujibu Soudy Brown inadaiwa Barnaba amefikia hatua ya kuachana na mke wake baada ya kumfumania mke wake hivyo ikabidi ahame nyumbani na kutafuta sehemu nyingine. Soudy Brown kapiga stori na msanii wa Bongofleva kumuuliza kuhusu taarifa hizo za rafiki yake Barnaba.
‘Mimi nakaa karibu na Barnaba, taarifa hizo ningekuwa nimeshazisikia kwa hiyo ngoja nizifuatilie’ – Amini
Bonyeza play kusikiliza full stori
ULIKOSA MAJIBU YA WOLPER KUHUSU LILE POVU 40 YA NILLAN? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
VIDEO: Irene Uwoya aeleza kuhusu Mwanamke ataemchukulia Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni, atachofanya akimfumania Mwanaume wake na mengine, tazama kwenye hii video hapa chini