AyoTV

VIDEO: Balaa alilofanya Mbunge Professor Jay Dodoma fiesta 2019

on

Usiku wa kuamkia October 20, 2019 historia nyingine iliandikwa na mkongwe wa Hip Hop Tanzania ambae pia ni Mbunge Joseph Haule maarufu Professor Jay alipoachia burudani kwa watu wake kwenye jukwaa fiesta mkoani Dodoma katika uwanja wa Jamhuri

Itazame hii video hapa ujione balaa la Mbunge Professor Jay

Soma na hizi

Tupia Comments