Habari za Mastaa

BARAKA THE PRINCE: “Nimebadili dini na kuwa Muislamu, jina langu jipya ni Abdulmalik” (+video)

on

Mwimbaji wa Bongofleva Baraka The Prince ambae ameachia ngoma mpya ya ‘furaha’ inayopatikana kwenye Youtube yake ya AfricanPrinceVEVO amekaa kwenye OnAIR with MillardAyo na kuongelea ishu zake mbalimbali ambapo amekiri kwamba ni kweli amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na sasa ni Muislamu na jina lake jipya ni AbdulMalick, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

UMEPITWA NA VIDEO MPYA YA BARAKA THE PRINCE? INAITWA ‘FURAHA’ ITAZAME HAPA CHINI

VIDEO: SIKU NNE ZA NAJ ALIVYOKAA NA MAMA YAKE BARAKA THE PRINCE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments