Video Mpya

VideoMPYA: Christian Bella kaja na hii mpya ya kuitazama ‘Punguza Kidogo’

on

Leo September 5, 2017 staa mwingine anayefanya muziki wa dance nchini Christian Bella ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Punguza Kidogo’ imeandaliwa na director Hanscana na ina dakika 3:57…itazame mtu wangu kisha niachie comment yako hapo chini umeipokeaje.

BEEF LINGINE? Miss Kiki adai Rosa Ree anaiga, hana heshima

Soma na hizi

Tupia Comments