Habari za Mastaa

Ukiniuliza movie gani kali ya kutazama leo Cinema Dar es salaam….(+TRAILER)

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ningependa ukaitazama hii movie mpya iitwayo The Legend of Tarzan ambayo itaanza kuonesha leo July 8, 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es Salaam.

Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center, Arusha Mall

HAPA KUNA RATIBA YA MOVIE NYINGINE MTU WANGU ZITAKAZOONESHWA LEO 

Independence Day

Central Intelligence

Sultan 

DER55 67

KAMA ULIIKOSA MAJIBU YA ABDUL KIBA KUHUSU KUJIUNGA LEBO YA WCB BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments