Top Stories

VIDEO: Waziri Kairuki atoa machozi “Na mimi huenda ningepoteza maisha”

on

Waziri wa Madini ambaye pia ni mlezi wa Taasisi ya Doris Mollel, Angellah Kairuki akabidhi vifaa tiba vitakavyowezesha hospitali ya Wilaya ya Same kuweza kutoa huduma kwa watoto Njiti. Awali hospitali hiyo ilikua ikiwapeleka watoto wanaozaliwa kabla ya wakati Hospitali ya KCMC kwa ajili ya kupata huduma hiyo.

Waziri Kairuki alitoa machozi wakati akielezea historia yake ya kuzaliwa njiti na kukaa kwenye incubator miezi mitatu na kuongezea kwa kusema kuwa inawezekana na yeye angepoteza maisha kama asingepata bahati hiyo.

VIDEO: CRDB wamekuja na ya kwao inaitwa Sim Account, Dkt. Kimei atoa million 2

Soma na hizi

Tupia Comments