Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Azam FC imetest mitambo kwa kishindo kabla ya kuivaa Simba SC

on

Club ya Azam FC ikiwa zimesalia siku mbili kucheza mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC uwanja wa Taifa Dar es Salaam Jumamosi ya August 17 2019, imecheza mchezo wa kirafiki.

Azam FC wakiwa Chamazi wamecheza mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Namungo FC ya Lindi na kuifunga kwa magoli 8-1, ushindi huo mnono unatoa taswira kuwa Azam FC sasa chini ya kocha Ettiene Ndairagije wako vizuri.

Magoli y ushindi ya Azam FC yalifungwa na Djodi, Seleman, Salum Aboubakar Sure Boy, Bruce Kangwa, Shaban Iddi Chilunda, Obrey Chora Chirwa, Kassim na Iddi Kipagwile kwa penati huku Namungo FC waliopanda daraja wakiishia kufunga moja.

Soma na hizi

Tupia Comments