Baada ya tamko la BASATA kuweka stop Steven Mengele asianze kuitumikia nafasi hiyo kwa sasa Steven mwenyewe amefunguka na kusema hajapata huzuni bali furaha baada ya kupokea barua kutoka BASATA.
Steve amezungumza hayo aliposhiriki kwenye Premier ya video’s za Msanii Diamond Platnumz zinazopatikana kwenye EP yake ya #FOA.
“Barua ninayo, nzuri tu ambayo mimi kwangu barua ile ni furaha, ukiisoma vizuri tayari utajua Mshindi ni nani, tusubiri siku ya Ijumaa nitaongea asubuhi pale BASATA” – Steve Nyerere
MREMA AFUNGUKA MAHARI ALIYOITOA KWA MKE WAKE MPYA “SUTI LAKI TATU, MAHARI MILIONI NNE”