Top Stories

Baada ya kutajwa kuwa ndie Mwanamke mrembo zaidi, Jacqueline afunguka (+Audio)

on

Baada ya Mtandao maarufu wa ishu za mitindo na urembo wa Nigeria uitwao StyleRave kumtaja Mtanzania Jacqueline N. Mengi (41) kuwa ndiye Mwanamke Mrembo zaidi Afrika kutokea katika kipindi cha miaka 10, Jacqueline amesema amefurahia nafasi hiyo.

CHUO CHA BILIONI MOJA CHAMFANYA DC KOROGWE AFYEKE NYASI, ATOA ONYO KALI AKIGAWA NAMBA

Soma na hizi

Tupia Comments