Habari za Mastaa

Baada ya miezi 7 Rich Mavoko ajitokeza na hili kubwa

on

Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye  mwimbaji wa Bongo Fleva Rich Mavoko amejitokeza mtandaoni leo akiwa na good news kwa mashabiki wake kuhusiana na muziki wake.

Mavoko amejitokeza leo mtandaoni baada ya ukimya usiopungua miezi 7 ambapo mara ya mwisho kupost kupitia akaunti yake Instagram ilikuwa ni January 1 mwaka huu.

Leo August 1, 2020 Mavoko ametangaza ujio wake mpya unaombata na minitape yake atakayoiachia siku ya August 7.

…..>>>”I MISSED ALL MY PEOPLE
Just keep the date on your mind. #minitaperichmavoko” – Mavoko 

VIDEO: TAZAMA ALICHOKIJIBU BARNABA KUHUSU NDOA “PETE NINAZO”

Soma na hizi

Tupia Comments