Top Stories

Baada ya mifuko ya plastic Serikali yagusia chupa za maji, Waziri ataja athari zake (+video)

on

Leo November 27,2019 unafanyika Mkutano wa mwaka wa kujifunza na kubadilishana uzoefu [Annual Learning and Sharing Experience Event 2019] Dodoma, ambao umeandaliwa na ANSAF ukiwahusisha takribani Washiriki 150 kwa lengo la kujadili athari na fursa za Mabadiliko ya tabia ya nchi katika Sekta ya kilimo.

Mgeni rasmi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano George Simbachawene ambae amegusia pia namna Serikali ilivyofanikiwa kupiga marufuku matumizi mifuko ya Plastic na kusema hata chupa za maji nazo zinaharibu mazingira.

LIVE: BILA WOGA “ACHIA HELA MAGUFULI, MAISHA MAGUMU, WANALIA”

Soma na hizi

Tupia Comments