Top Stories

Baada ya mjadala mzito bungeni kuhusu Ngorongoro, Waziri Mkuu atoa kauli

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuandaa semina ya siku moja kwa wabunge wote ili kuwaelimisha juu ya athari za ongezeko la watu na mifugo, pamoja na shughuli nyingine za binadamu katika hifadhi ya Ngorongoro.

SPIKA WA BUNGE ‘TULIA’ ALITAKA GAZETI LA RAIA MWEMA KUJITAFAKARI

 

KIKWETE ASHANGAZWA NA UTENDAJI KAZI WA RAIS SAMIA, AMTAJA HAYATI MAGUFULI “UONGOZI WAKE NI MZURI”

Soma na hizi

Tupia Comments