Mix

Baada ya Movie zake kupendwa sana kwenye mabasi, Mkojani apata Ubalozi Happy Nation

on

Moja kati ya comedian wakuwa Tanzania kwa sasa ni Mkojani ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wake wa kuigiza lakini kubwa ni sauti yake ya lafudhi ya kipemba.

Mkojani amekuwa maarufu kila kona kiasi cha kuwa msanii namba moja kwa movie zake kuchezwa kwenye mabasi ya mikoani.

Kwa umaarufu huo kampuni ya mabasi ya Happy Nation ambayo imeingiza mabasi mapya nchini kwa kuongeza safari za Kahama, Bukoba, Mwanza sasa imetangaza kumteua Mkojani kama Balozi wao kwa Bookingi unaweza watafuta Happy Nation kwa namba 0715 410 773.

Mkojani anakuwa msanii wa pili kuaminiwa na kampuni hiyo baada ya awali TID kutangazwa kuwa balozi wao kwa hapo awali ambaye kwa sasa muda wake umeisha.

Soma na hizi

Tupia Comments