Habari za Mastaa

Baada ya Steve Nyerere kujiuzulu, atangaza hili kwa Mwana FA (video+)

on

Baada ya Steve Nyerere kujiuzulu nafasi yake leo katika ofisi za BASATA, ametangaza pia kumsamehe msanii Mwana FA pamoja na wenzake kwa yale yaliyotokea wakivutana kuhusu nafasi ya msemaji.

HATIMAYE STEVE NYERERE ANYOOSHA MIKONO JUU, AJIUZULU NAFASI YA USEMAJI

Tupia Comments