Michezo

Baada ya taarifa ya Simba, Morrison atoa tamko ‘inaweza athiri kiwango changu’

on

Baada ya Simba SC kutoa taarifa ya kumpa mapumziko mchezaji wake Bernard Morrison.

Sasa Mchezaji huyo ameibuka na kuyaandika haya…’“Kwa moyo wa dhati napenda kutangaza kuwa nitakuwa nje ya timu kwa kipindi chote cha msimu kilichosalia kutokana na matatizo ya kifamilia ambayo yako nje ya uwezo wangu na yangeweza kuathiri hata kiwango changu kama nitaendelea kucheza, mengi yanatakiwa kusemwa kuhusiana na hili lakini ninachoweza ni kuitakia klabu kila la kheri katika kipindi chetu cha msimu kilichosalia, natumaini na kusali matatizo haya yawezekutatulika haraka iwezekanavyo ili niweze kurejea tena katika timu”- Morrison

Kwa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi kuhusu kauli ya Morrison baada ya tamko la Simba SC.

Tupia Comments