Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Top Stories

Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga

March 23, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Kinyang’anganyiro cha kuwania nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC )mkoa wa Arusha, kimeanza rasimi leo mara baada ya vigogo kadhaa kujitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo.

Miongoni mwa waliojitokeza ni Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA) James ole Millya ambaye alisema amejipanga vema kukitumikia chama cha Mapinduzi kipitia mkoa wa Arusha katika nyanja za kisiasa.

Mwingine aliyechukua fomu kuwania nafasi hiyo ni Hussein Gonga ambaye alifika kimya kimya na kukabidhiwa fomu na sekretari wa chama ambaye hakupenda kutaja jina lake litajwe baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha,Mussa Matoroka kuwa kwenye ziara ya Utelelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoani.

Millya ambaye aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Simanjiro alisema ameona ni vema agombee nafasi hiyo ili kuusaidia Mkoa wa Arusha ambao ni lazima kuwepo na timu imara itakayohakikisha chaguzi zijazo chama kinashinda kwa kishindo.

Amesema yeye kama kijana aliyepikwa na chama amejitoa kuwania nafasi hiyo ili kusaidia chama kushinda kwani anajua vema siasa za nchi ya Tanzania

Amempongeza Rais Samia Hassan Suluhu kwakuruhusu mikutano ya Vyama vya Siasa hivyo kutokana nauzoefu wake katika nafasi zake alizokuwa nazo awali anaamini akipata nafasi ya ujumbe wa Halmshauri kuu atakisaidia chama kupata mafanikio na ushindi.

“Ninauzoefu wa kisiasa na naomba ridhaa ya kuwania nafasi hii kwani sifa na uzoefu wa pande zote mbili katika chama ninao”

Uchaguzi huo ambao ulikuwa ufanyike Novemba mwaka jana ulifutwa kutokana na vitendo vya rushwa kwa baadhi ya makada wa ccm waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kuoneshana nguvu ya pesa.

Hata hivyo Millya alisema kuwa atakuwa muumini namba moja wa kulaani vitendo vya rushwa ndani ya uchaguzi huo akiamini kiongozi bora hupimwa kwa matendo yake na sio kwa rushwa.

Katibu wa ccm Mkoa wa Arusha,Musa Matoroka alisema zoezi la uchukuaji wa Fomu limeanza leo Machi 23 hadi machi 25 mwaka huu saa .

Alisema wagombea wote waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kabla ya zoezi hilo kufutwa wataruhusiwa kuchukua fomu .

Miongoni mwa wagombea waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kabla ya uchaguzi huo kufutwa ni pamoja na Mfanyabiashara na mchimbaji wa Madini ya Ruby ,Bilionea Sendeu Laizer na mfanyabiashara wa madawa ya mifugo, Gesso Bajuta .

You Might Also Like

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Edwin TZA March 23, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Next Article Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?