Top Stories

Baba abaka mtoto wake wa kumzaa “Ni Mwanafunzi darasa la saba” (video+)

on

Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Jackson Naiko mkazi wa kijiji cha Ndareta wilaya ya Kiteto mkoani Manyara kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kumzaa M wanafunzi wa darasa la saba.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments