Habari za Mastaa

Baba Levo,Nandy na walivyojiachia kwenye Bar inayoelea juu ya maji (video+)

on

Ni wasanii watakaotoa burudani  July 21, 2021 Kwenye Tamasha la Nandy Festival Zanzibar ambapo usiku wa July 20 walitembelea katika eneo la Forodhani na kisha baadae kula starehe (Bata) Kwenye Bar inayoelea juu ya Maji.

Ayo TV & millardayo.com imekusogezea ushuhudie mwanzo mwisho PLAY kutazama video.

Tupia Comments