Ad

Michezo

Baba Mzazi wa Alisson Becker afariki Dunia

on

Baba mzazi wa golikipa wa Liverpool Alisson Becker amekutwa amefariki Dunia katika ziwa nchini kwao Brazil.


Mzee Jose Agostinho Becker (57) alikutwa amefariki katika ziwa hilo baada ya kupotea kwa saa kadhaa jana Jumatano lakini inaripotiwa kuwa alienda kuogelea kabla ya usiku Polisi kufanikiwa kuupata mwili wake.

Soma na hizi

Tupia Comments