Habari za Mastaa

Baba Mzazi wa Msanii ‘Davido’ anunua Ndege yake Binafsi

on

Baba Mzazi wa Msanii maarufu kutoka Nchini Nigeria Davido amenunua Ndege yake binafsi. na Davido ametumia ukurasa wake wa Twetter kumpongeza Baba kwa kuandika maneno haya.

Congrats Daddy  on your { our} new baby !!!😂

MEJA KUNTA KAPANDA BEI, NDANI YA NDINGA KALI KAFUNGUKA KAPATA SHOW INDIA NA KUTEMBEA NA MABAUNSA

Soma na hizi

Tupia Comments