Kituo cha Baba Oreste ambacho kilianzishwa mwaka 2008 hutumika kulelea watoto wenye mahitaji maalum.
Kituo hicho kupitia kwa Mratibu wa kituo Easter Zimba sasa kimeandaa matembezi ya hisani Desemba 2 2023 kwa ajili ya kuhamasiha jamii na kupinga ukatili dhidi ya watoto hao.
Matembezi hayo yataanzia Bunju A kuanzia saa moja asubuhi na yataanza kwa kukimbia kidogo. Zaidi bonyeza Play hapo chini kutazama ratiba nzima kutoka kwa Mratibu wa kituo hicho Easter Zimba.