Top Stories

Baba wa Mwanafunzi alieuawa kisa mapenzi aongea “ndie msomi pekee kwetu, tulitaka atutunze” (+video)

on

Kijana Athumani Ally Daudi aliyefariki baada ya kuchomwa na kisu na Mwanafunzi mwenzake wa Chuo cha Utumishi wa Umma kilichopo Kange Mkoani Tanga amezikwa katika Kijiji cha Sunga, Tarafa ya Mtae Wilayani Lushoto.

Majonzi yametawala kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Kijiji hicho hususani wazazi wake ambao wamesema Kijana wao ndie pekee walikuwa wanamtegemea kwasababu ndiye msomi katika familia hyo.

Familia hiyo ya Mzee Ally Daudi imeliomba Jeshi la Polisi kumtafuta mtuhumiwa kwa nguvu na jitihada zote ili aweze kufikishwa Mahakamani.

MILLARD AYO AKUTANA NA BILIONEA MPYA LAIZER, ATOA AHADI, NI EXCLUSIVE AMPLIFAYANI LEO

Soma na hizi

Tupia Comments