Habari za Mastaa

Baba levo kaamua kuyazungumzia magari ya mastaa wa bongo, Roma, Msechu, Izzo B, Juma Nature, Ommy Dimpoz, Wema na wengine

on

BlevoBaba Levo ni msanii ambaye utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYA CloudsFM kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa tatu usiku Jumatatu hadi Ijumaa ambapo Feb 18 ametusogezea hii kuhusu mastaa wa bongo na magari yao.

Msikilize kwa kubonyeza play hapa chini pale alipokutana na mashabiki zake mtaani wakaanza kumuuliza kuhusu hayo magari ya mastaa.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments