Top Stories

Babu ambaka na kumpa ujauzito mjukuu wake “Polisi wamemnasa” (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata Mzee Said Abduratifu Tumain (67) kwa tuhuma ya kumbaka na kumpa ujauzito mjukuu wake (13) mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kizigo Manispaa ya Tabora

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishma msaidizi wa Polisi Barnabas Mwakalukwa amesema Mama mzazi wa mtoto ndiye aliyegundua mabadiliko ya mtoto “Babu mtu anaenda kumpa ujauzito mjukuu wake lakini jeshi la polisi limemnasa kwa ushirikiano mzuri wa wananchi kutoa taarifa”.

Tupia Comments