Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Babu Tale akifunguka “Natamba sina wasiwasi” Waukae Festival Morogoro (Video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Babu Tale akifunguka “Natamba sina wasiwasi” Waukae Festival Morogoro (Video+)
Top Stories

Babu Tale akifunguka “Natamba sina wasiwasi” Waukae Festival Morogoro (Video+)

August 12, 2021
Share
1 Min Read
SHARE
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Mh Hamis Tale akisalimia maelfu ya Wananchi wa Morogoro waliojitokeza hapa katika Viwanja Vya Kiroka.
“Sisi tunafanya kazi naomba mnikumbushe mwaka gani na Mbunge gani aliefanya hivi hakuna, nimesimama hapa kama Mbunge na kikubwa ambacho mnatakiwa kukifuata na kukizingatia kwamba lazima mfahamu Rais Samia anatupenda”- Mbunge Hamis Tale
“Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia tu madarakani alikuta kiporo changu cha Kilometa 40  amenisaidia kilometa 15 mpaka Mwezi wa kumi hii Barabara mtakuta lami”- Mbunge Hamis Tale
“Kule juu mlimani teketero  amepeleka mradi wa Bilioni 14 kusaidia maji katika vijijini 15 na vijijini vyote  vinaanza kunywa Maji safi na Salama”- Mbunge Hamis Tale

GUMZO MESSI KUVAA JEZI YA “PSG” KIGWANGALA AIBUKA “NAJUTA, NILITAKA KUTANGAZA EPL”

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Babu Tale
Edwin TZA August 12, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 6:Muonekano wa Daraja la Tanzanite lina urefu wa km 1/upana mita 20
Next Article Wasanii,Wanamichezo, wanahabari wapata chanjo Karimjee (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?