Top Stories

Babu wa miaka 87 aoa Mke wa pili, Watoto wagomea harusi, auza nyumba alizowapa (+video)

on

Mzee Saimo Kamakia mkazi wa Moshono Arusha amemua kuuza nyumba alizowapa Watoto wake kwa madai ya kutoshiriki kwenye harusi aliyofunga na Mke wa Pili baada ya yule aliyekuwa naye awali kufariki.

Watoto wa Mzee huyo wameiomba Serikali kuingilia kati suala hilo kwa kwa madai ya kwamba Mzee huyo anaamrishwa na Mwanamke huyo kuuza mashamba na nyumba zao.

LIVE: WAZIRI MKUU ANAHUTUBIA VIONGOZI WA DINI, “USITUUE USITUUE MUNGU”

Soma na hizi

Tupia Comments