Breaking News

BREAKING NEWS: JPM katoa msamaha kwa Babu Seya na Familia yake

on

December 9 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu  ya Uhuru Mjini Dodoma Leo

Kutokana na ibara ya 45 ya Katiba nimeamua kumsamehe familia ya  Nguza Viking jina lingine anaitwa Babu Seya na mwanae PapiiKocha na wao naomba kuanzia leo waachiwe huru”-Rais JPM

Babu Seya ( Kulia) Papi Kocha (Kushoto)

Mbali na Familia ya Babu Seya Rais Magufuli  ametangaza msamaha kwa wafungwa 8,157 na ambao wanatakiwa kutolewa siku ya leo ni 1,828 ikiwemo familia ya Babu Seya

BREAKING: JPM ameagiza kuachiwa huru kwa Babu Seya na Familia yake

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments