AyoTV

Babu Tale ana majibu ya hizi >>Diamond na Dimpoz hawaelewani? kolabo na Usher Raymond? mauzo ya tickets za White party? #AyoTV

on

Bab TBabu Tale ni meneja wa msanii Diamond Platnumz alipita kwenye studio za TZA akafanya interview ambayo nimekusogezea kwenye AyoTV, Kwenye hii part one, anaitumia kutoa ufafanuzi wa stori zilizoendelea kuhusu makubwa ya Diamond.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments