Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Gigy Money kwa mashabiki wake “Siolewi, sina mpango” (+Video)

on

Baadhi ya sastaa hivi karibuni wamekuwa karibu na mashabiki wao kwa kuingia kwenye mitandao ya kijamii na kutaka kuulizwa maswali na wao kutoa majibu, sasa mwimbaji na muigizaji Gigy Money alitoa nafasi ya maswali kwa mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram na moja la swali kuu aliloulizwa ni lini ataolewa?

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama baadhi ya maswali na majibu kutoka kwa Gigy Money likiwemo na la kuolewa.

VIDEO: BEN POL AKIWA KWA TRUMP AKUTANA NA RAPPER T.I

Soma na hizi

Tupia Comments