Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mrembo anayepiga vita kujichubua ” Unaweza pata kansa hata ya kizazi” (+video)

on

Mjasiriamali Antu Mandoza amekaa kwenye Exclusive interview na Ayo TV na amezungumza kuhusu mwanawake wanaotumia mafuta ya kubadilisha rangi za ngozi zao (kujichubua) kwamba inaweza kuleta madhara makubwa kiafya na kupeleka hata kupata kansa ya kizazi.

Kutokana na wanawake wengi kwenye jamii za Kiafrika kuamini kuwa rangi nyeusi kwa msichana ni uchafu suala hilo limemfanya Antu Mandoza kuwaelimisha wanawake juu ya kukubali rangi zao na kutotumia mafuta yoyote ya kujichubua.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho alichokizungumza mwanadada huyo ambaye anapinga vikali ishu nzima ya kujichubua.

VIDEO: ULIPITWA NA VITUKO NA MBWEMBWE ZA MANARA MBELE YA MASTAA WAKIWA KWENYE MAJI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments