Habari za Mastaa

Nimekusogeza picha 10 za Mastaa wakiwa kwenye sura ya kizee ‘Face challenge’

on

Tumezoea kuona challenges tofauti tofauti zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii na watu huzifanya na kuzipost kupitia kurasa zao, sasa imeibuka hii nyingine ya ‘Face Challenge’ ambapo mastaa tofauti wamepost picha na kuonekana wamezeeka.

Sio mastaa tu kutokea Tanzania ndio wamejihusisha na challenge hii, ‘Face Challenge’ imeonekana kutawala duniani kote na kuiteka mitandao ya kijamii. Nakusogezea karibu picha za mastaa kutokea hapa hapa nyumbani Tanzania wakiwa wamefanya face challenge.

Rosa Ree

Ebitoke

Chege

Billnas

Jacquline Wolper

Nandy

Faiza Ally

Ben Pol na Steve RnB

 

Rose Ndauka

Mtangazaji B Dozen

VIDEO: RAY KIGOSI KAWEKA WAZI KUHUSU CHUCHU, HUYU NDO MPENZI WAKE MPYA..?

Soma na hizi

Tupia Comments