Video Mpya

VideoMPYA: Cyrill Kamikaze ameidondosha ‘De Mi Vida’ karibu kuitazama

By

on

Baada ya kimya cha muda mrefu namleta kwako Cyrill Kamikaze akiwa na video ya ngoma mpya inaitwa ‘De Mi Vida’ ndani ya ngoma hiyo anakuambia ‘My bebe kuch kuch’ itazame mwenyewe kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

PART 3: ZARI KAELEZEA MATUMIZI YA WATOTO, KUMBLOCK BABA WATOTO WAKE “MOYO ULINIUMA”

Soma na hizi

Tupia Comments