Video Mpya

VideoMPYA: Kutana na Chris Brown ft Drake kwenye ‘No Guidance’

By

on

Baada ya mkali wa miondoko ya RnB kutokea Marekani Chris Brown kuahidi kuileta ngoma ya pamoja na Rapper Drake, sasa leo ametubariki na video ya ngoma hiyo “No Guidance” ikiwa mwezi mmoja uliopita aliidondosha audio ya ngoma hiyo. Bonyeza PLAY hapa chini kuburudika.

VIDEO: ” WAKONGWE WAMEFULIA, HAWAWEZI KUTUNGA NYIMBO?”-BWANA MISOSI

Soma na hizi

Tupia Comments