Mix

VIDEO: Wizara ya Afya imeomba kutengewa Trilion 1.1 kama bajeti yake

on

May 3, 2017 Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu aliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 kiasi cha Shilingi 1, 115, 608, 772, 090.00

Full video ya Waziri Ummy Mwalimu alivyokuwa akiwasilisha bajeti hiyo nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Tulikuwa tukitukanwa hapa leo mnakuja na haya mengine’ –Abdallah Ulega 

Soma na hizi

Tupia Comments