Top Stories

Balaa!! Full video ikionyesha Mashindano ya pikipiki mwanzo mwisho Arusha

on

Arusha yamefanyika mashindano yakuendesha  pikipiki yaliyopewa jina la Mwalimu Nyerere ambayo yameshirikisha zaidi ya waendesha pikipiki mia moja

Kwenye hii video hapa chini tumekuwekea jinsi washiriki walivyokuwa wanaendesha pikipiki ikiwemo vikwazo ambavyo wamevipitia kwenye mashindano hayo.

DOGO ANA MIAKA 13 LAKINI KAONGOZA KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA “NIMEWACHAPA”

Soma na hizi

Tupia Comments