Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Magari matatu ya mastaa wa Nigeria kwenye picha moja, Wizkid, D Prince na Don Jazzy.
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Magari matatu ya mastaa wa Nigeria kwenye picha moja, Wizkid, D Prince na Don Jazzy.
Habari za Mastaa

Magari matatu ya mastaa wa Nigeria kwenye picha moja, Wizkid, D Prince na Don Jazzy.

January 11, 2014
Share
2 Min Read
SHARE

WanaijaKuna siku nilikua napiga stori na baadhi ya watu wangu wa nguvu ambao wamefanikiwa kufika Nigeria na kujionea jinsi kiwanda cha muziki wa huko kilivyo na taratibu zake ambazo wanaona ni tofauti na za nchi kama Tanzania, mastaa wa muziki ni wengi na kazi za kibalozi kwenye makampuni makubwa kama ya simu ni sehemu ya wanakopata mamilioni kila siku.

Waliniambia kampuni moja ya mawasiliano ya simu za mkononi inaweza kuwa na mabalozi hata watano ambao wote ni wasanii wa muziki hivyo inatoa fursa tofauti na nchi nyingine ambako akishapewa hilo dili msanii mmoja ndio mpaka amalize muda wake na nchi nyingi hawawatumii/hawatambui umuhimu wa kuwatumia Mastaa.

D'Prince, Don Jazzy na Wandecoal
D’Prince, Don Jazzy na Wandecoal

Wanigeria pia wameweza kuvuka mipaka mpaka kwenye mauzo ya nyimbo zao, nakumbuka siku moja nikiwa South Africa nilikutanishwa na Mnigeria ambae anamiliki kampuni inayouza nyimbo za Wanigeria kwenye kampuni zinazotengeneza simu za mkononi kama vile Samsung, yani ukinunua simu mpya tu ukiingia kwenye videoz na songs unakuta nyimbo za Wasanii wa Naija.

Baada ya hayo maelezo machache hapo juu naomba kukufahamisha kwamba picha hiyo ya kwanza ni ya magari matatu yanayomilikiwa na mastaa wa Nigeria, magari haya yote matatu yamepigwa picha yakiwa yamepaki sehemu moja.

Producer aliemtoa D’Banj >> Don Jazzy anaiendesha hiyo Aston Martin, Wizkid anaiendesha hiyo Porsche wakati D’Prince anaisukuma hiyo Mercedes Benz.

Katika stori kadhaa ambazo nimewahi kuzipokea, Mastaa wa Nigeria, Congo DRC, South Africa na Uganda ndio naona utajiri wao unaridhisha Afrika.

Wizkid 1

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Millard Ayo January 11, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha za Baba mzazi wa Joh Makini na Nikki wa II na biashara anayofanya.
Next Article Huyu mtoto wa Whitney Houston si kaolewa aisee
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?