Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ballo ilivyotumika kuadhimisha mtoto njiti Duniani Mbuga ya Serengeti, Watalii wafunguka
Share
Notification Show More
Latest News
Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya
March 20, 2023
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ballo ilivyotumika kuadhimisha mtoto njiti Duniani Mbuga ya Serengeti, Watalii wafunguka
Top Stories

Ballo ilivyotumika kuadhimisha mtoto njiti Duniani Mbuga ya Serengeti, Watalii wafunguka

November 21, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti yalipofanyika Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani yaliyoandaliwa na Doris Mollel Foundation, Ayo TV inakupa nafasi ya kuona Wadau mbalimbali na Watalii wakitazama Wanyama kutokea angani kwa kutumia Hot Air Balloon.

Tumeongea na Watalii kutoka Mataifa mbalimbali pamoja na Muhudumu wa balloon “Kupanda balloon ni exprience nzuri kwasababu unatazama wanyama kutokea juu tofauti na ile ya kutumia balloon, balloon huruka saa 12 asubuhi kwasababu ya hali ya hewa na mara nyingi hukaa angani kwa saa moja au zaidi”.

Taasisi ya Doris Mollel Foundation leo ikiongozwa na Mkurugenzi wake Doris Mollel imeadhimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani ambayo kwa kawaida huadhimishwa mnamo tarehe 17 Novemba kila mwaka, kwao maadhimisho hayo yamefikia kilele November 20, 2022 ambayo ni Siku ya Mtoto Duniani na yamefanyika Serengeti, Mkoani Mara kwa kugawa vifaa tiba na kufanya utalii katika Hifadhi ya Serengeti ikiwemo kupanda Hot Air balloon na kutalii katika Hifadhi ya Serengeti kwa ajili ya kukuza utalii na kuhamasisha kujitolea.

You Might Also Like

Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Edwin TZA November 21, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Doris Mollel apewa Milioni 70 na Rais Samia asimulia alivyopigiwa simu ( video+)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 22, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya
Top Stories March 20, 2023
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Video: Tazama Polisi wazuia Maandamano nchini Kenya

March 20, 2023
Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

March 20, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?