Michezo

Ballon d’Or Dream team kikosi bora cha muda wote

on

Jaraida la France Football ambao ndio waandaaji wa tuzo ya Ballon d’Or wametangaza kikosi bora cha muda wote ambacho kimechaguliwa kwa kura za waandishi wa habari za michezo 140 kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Katika list hiyo ambayo ina majina ya legends kama Pele na Diego Maradona, Lionel Messi ambaye amefunga magoli 642 katika michezo 746 akiwa na Barcelona yupo katika list hiyo, Cristiano Ronaldo ambaye akifunga magoli 754.

Soma na hizi

Tupia Comments