Habari za Mastaa

Umeona jinsi ilivyokua kwenye tuzo ya Ballon d’Or? Ronaldo, Messi na wengine hapa

on

1Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2013 ni Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ambapo baada ya kuipokea amesema ‘hakuna maneno yanaweza kuielezea hii furaha au huu wakati, naishukuru club yangu na timu yangu ya taifa kwa sababu bila nguvu zao hili lisingewezekana, hii tuzo kushinda ni ngumu sana, nimefurahi sana…. kila alienisaidia namshukuru na siwezi kumsahau Eusebio, girlfriend wangu, marafiki na mwanangu’

2Pele alipewa tuzo ya heshima (Prix d’Honneur)
3Zlatan Ibrahimovic ameshinda tuzo ya goli bora
4Kocha wa mwaka Jupp Heynckes
5Kikosi cha Fifa Pro XI

1. Manuel Neuer (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 2. Dani Alves (Barcelona-LA LIGA), 3. Philipp Lahm (Bayern Munich-BUNDESLIGA), 4. Sergio Ramos (Real Madrid-LA LIGA)   5.Thiago Silva (PSG-LEAGUE 1), 6. Xavi (Barcelona-LA LIGA), 7. Frank Riberry (Bayern Munich-BUNDESLIGA),8. INIESTA (Barcelona-LA LIGA), 9. Zlatan Ibrahimovic (PSG-LEAGUE 1), 10. Lionel Messi (Barcelona-LA LIGA) na Cristiano Ronaldo Sergio Ramos (Real Madrid-LA LIGA).
6
7
8
9
10
11
12

Tupia Comments