Michezo

Balotelli utukutu wamponza, Brescia inamuacha

on

Mshambuliaji wa Brescia ya Italia Mario Balotelli ni wazi ataondoka katika club hiyo mwisho wa msimu wa 2019/20 kutokana na kukosa mazoezi kwa siku 10.

Hata hivyo Balotelli pia katofautiana na Rais wa Club Mr Massimo Cellino, Balotelli anaachwa na Brescia baada ya kuafikiana juu ya mkataba wake wa miaka 2 iliyokuwa imesalia.

Soma na hizi

Tupia Comments