Michezo

Kutana na kiduku kipya cha Super Mario Balotelli

on

BALOTMario Balotelli mwenye umri wa miaka 23 ni mshambuliaji kwenye kikosi cha AC Milan na timu ya taifa ya Italy ambae amekua akitokelezea kwenye headlines mara kwa mara kutokana na vituko au maisha yake.

Alilotokelezea nalo sasa hivi ni hili la aina mpya ya nywele zake, yani jinsi alivyozitengeneza.

Unavyoona ametokelezea au ?

BALOTELI

Tupia Comments