Top Stories

Balozi Mbarouk ampokea Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Zanzibar

on

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amempokea Katibu Mkuu Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland alipowasili Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

.

.

Mhe. Scotland yupo nchini kwa ziara maalum ya kukutana na kumfahamisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan maudhui ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Madola unaotarajiwa kufanyika nchini Rwanda mwezi Juni 2022.

WAZIRI MAKAMBA AFUNGUKA BEI ZA MAFUTA KUPANDA BAADA YA WABUNGE KUJADILI

Soma na hizi

Tupia Comments