Mix

Hayajasahaulika ya New York, Ferguson.. Marekani bado kuna headlines za machafuko kutokana na ishu ya Ubaguzi..

on

A police vehicle burns, Monday, April 27, 2015, during unrest following the funeral of Freddie Gray in Baltimore. Gray died from spinal injuries about a week after he was arrested and transported in a Baltimore Police Department van. (AP Photo/Patrick Semansky)

Machafuko mengine Marekani, waandamanaji wameingia mtaani.. wamepora vitu madukani, majengo yamechomwa moto.. bado kisa hiki kinahusishwa na ishu ya ubaguzi wa rangi kwa upande mwingine.

Kijana Freddie Gray alifariki akiwa mikononi mwa Polisi, vurugu zikaanza muda mfupi baada ya kufanyika mazishi yake.

Kifo cha Gray ambaye ni Mmarekani mweusi alifariki siku chache baada ya kulazwa Hospitali akipatiwa matibabu ya majeraha aliyopata kwenye uti wa mgongo baada ya baada ya kupigwa na Polisi.

Watu waliingia mtaani kufanya maandamano ya kupinga kitendo kilichofanywa na Polisi, baadae hali ikabadilika, majengo yakaanza kuchomwa moto na watu wengine wakaanza kuvamia maduka na kufanya uporaji.

BALTIMORE, MD - APRIL 27:  Demonstrators climb on a destroyed Baltimore Police car in the street near the corner of Pennsylvania and North avenues during violent protests following the funeral of Freddie Gray April 27, 2015 in Baltimore, Maryland. Gray, 25, who was arrested for possessing a switch blade knife April 12 outside the Gilmor Homes housing project on Baltimore's west side. According to his attorney, Gray died a week later in the hospital from a severe spinal cord injury he received while in police custody.  (Photo by Chip Somodevilla/Getty Images) ORG XMIT: 551557375

Waandamanaji hao walikuwa wakirusha mawe kuyashambulia magari ya Polisi, majengo pamoja na kufanya uharibifu mwingine huku maofisa wa Polisi 15 kujeruhiwa.

A Baltimore Metropolitan Police transport vehicle burns during clashes in Baltimore, Maryland April 27, 2015. Maryland Governor Larry Hogan declared a state of emergency and activated the National Guard to address the violence in Baltimore, his office said on Monday. Several Baltimore police officers were injured on Monday in violent clashes with young people after the funeral of a black man, Freddie Gray, who died in police custody, and local law enforcement warned of a threat by gangs. REUTERS/Shannon Stapleton - RTX1AK33

Watu 27 wamekamatwa kwa kuhusika na matukio ya uporaji katika maduka ya pombe, dawa na maduka ya kubadilishia fedha  pamoja na  kuwashambulia maafisa wa Polisi.

A man throws a brick at police Monday, April 27, 2015, following the funeral of Freddie Gray in Baltimore. (AP Photo/Patrick Semansky) ORG XMIT: MDPS130

Mmoja wa waandamanaji akirusha jiwe kwa askari.

Kifo cha Gray kilitokea April 19, hii iishu ni moja ya ambazo zimewahi kusikika zikihusishwa na suala la Polisi wa Marekani kuwaua Wamarekani weusi.. iliwahi kutokea pia Jiji la Ferguson na New York.

Kwa sasa shughuli nyingi Baltimore zimesimama, shule zimefungwa huku vikosi vya zimamoto vikiendelea na jitihada kuzima moto pamoja na Polisi kuwatawanya waandamanaji.

BALTIMORE, MD - APRIL 27:  Two cars burn in the middle of an intersection at New Shiloh Baptist Church on April 27, 2015 in Baltimore, Maryland. Riots have erupted in Baltimore following the funeral service for Freddie Gray, who died last week while in Baltimore Police custody.  (Photo by Andrew Burton/Getty Images)

27 Apr 2015, Baltimore, Maryland, USA --- April 27, 2015 - Baltimore, MD, USA - Baltimore firefighters battle a three-alarm fire at Gay and Chester Streets on Monday, April 27, 2015, in Baltimore. It was unclear whether it was related to ongoing riots. (Credit Image: © Jerry Jackson/TNS/ZUMA Wire) --- Image by © Jerry Jackson/ZUMA Press/Corbis

Firefighters battle a blaze, Monday, April 27, 2015, after rioters plunged part of Baltimore into chaos, torching a pharmacy, setting police cars ablaze and throwing bricks at officers. (AP Photo/Evan Vucci) ORG XMIT: MDEV101

A man walks past a burning police vehicle, Monday, April 27, 2015, during unrest following the funeral of Freddie Gray in Baltimore. Gray died from spinal injuries about a week after he was arrested and transported in a Baltimore Police Department van. (AP Photo/Patrick Semansky)

maxresdefault

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>> twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments