Habari za Mastaa

Kama ulimiss muziki wa Banana Zorro kwenye ubora wake, anakupa hii mpya..- ‘Kaseme Tena’ (+Audio)

on

December 29 2015 jina la mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudina kitu masikioni mwetu.

Imenifikia hii ngoma inaitwa ‘Kaseme Tena‘, ya kumalizia mwaka 2015 kutoka kwa Banana Zorro jamaa ambaye anamiliki pia B Band.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments