Top Stories

Bananga wa CHADEMA ahamia CCM, Rais Samia ahaidi kumpa kazi (+video)

on

Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Ally Bananga leo October 17, 2021 mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejea tena Chama cha Mapinduzi (CCM).

“Ninawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje CHADEMA lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.” Bananga

Soma na hizi

Tupia Comments