Michezo

Banda atoa ufafanuzi kudaiwa kuambukizwa virusi vya corona

on

Mtanzania Abdi Banda leo ametumia ukurasa wake wa instagram kuelezea kuwa hakuwa hakisumbuliwa na virusi vya corona kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa mitandaoni.

“Napenda kutoa shukrani zangu kwa wote mlioguswa/shtushwa na habari juu yangu kikubwa kila kitu kimeenda sawa na kwa baraka za M/MUNGU imegundulika haukuwa ugonjwa unaosumbua kwa sasa duniani Ahsanteni sana MUNGU awabariki” >>>Abdi Banda

Banda ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini ambako ndio kituo chako cha kazi akiitumikia club yake ya Highlands Park.

Soma na hizi

Tupia Comments