Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bandari kavu ya Kwala tayari kuanza kazi,kupunguza 30% ya mizigo inayo hudumiwa bandari ya Dar
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
December 8, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Bandari kavu ya Kwala tayari kuanza kazi,kupunguza 30% ya mizigo inayo hudumiwa bandari ya Dar
Top Stories

Bandari kavu ya Kwala tayari kuanza kazi,kupunguza 30% ya mizigo inayo hudumiwa bandari ya Dar

May 28, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Miundombinu yote muhimu na wezeshi kwa ajili ya kuhudumia makasha (makontena) katika bandari kavu ya Kwala iliyopo iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani imeshakamilika na kuifanya bandari hiyo kavu kuwa na sifa zote na tayari kwa kuanza kazi.

Hayo yamesemwa leo Jumamosi Mei 27, 2023 na Meneja miliki wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Alexander Ndibalema akiongea na waandishi wa habari waliotembelea bandari hiyo na kusisitiza kuwa tayari bandari hiyo imeshasimikwa mifumo ya kimatandao ambayo inasomana moja kwa moja na bandari ya Dar es Salaam.

Ndibalema ameongeza kuwa, tayari katika bandari hiyo zipo ofisi za wadau wote bandari pamoja ofisi za kiforodha.

Ameendelea kwa kusema kuwa, bandari ya Kwala itakuwa ni mahususi kwa ajili ya kuhudumia makasha (makontena) yanayokwenda nchi jirani.

“Bandari kavu ya Kwala imeunganisha nchi jirani lengo likiwa ni kuhudumiwa makasha (makontena) yanayokwenda nchi jirani, tayari tumeshatenga maeneo maalum kwa kwa ajili ya nchi za Burundi, Rwanda, DR Congo ambapo kila nchi zimetengewa hekta kumi (10)

Ndibalema ametaja malengo ya kujenga bandari hiyo kuwa ni pamoja kupunguza msongamano wa mizigo na malori katika Bandari ya Dar es Salaam

“Lengo la Kujenga bandari kavu ya Kwala ni

.Kupunguza msongamano wa malori yanayoingia  kutoka katika bandari ya Dar es Salaam

. Kuipunguzia mzigo bandari ya Dar es Salaam

. Kuwa chachu ya uwekezaji katika kongani ya Msafiri Pwani” alisisitiza Ndibalema

Kwa upande wake mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Kwala, Zaka Msafiri amesema, ujio wa bandari kavu ya Kwala imewanufaisha wakazi wa Kwala na maeneo jirani katika nyanja mbalimbali.

Mwenyekiti Msafiri ameyataja baadhi ya manufaa hayo kuwa ni pamoja na wananchi kupata ajira, kukuza biashara ,kuvutia uwekezaji pamoja na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kufuatia barabara yenye urefu wa kilometa 15.5 kujengwa ikiwa pia ni sehemu ya mradi wa ujenzi wa bandari hiyo.

Nao Robert Francis na Jumanne Kibambe ambao ni wananchi wa kijiji cha Kwala wakiongea kwa nyakati tofauti wameishukuru serikali ya awamu sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza kwa kasi miradi yote muhimu na ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bandari kavu ya Kwala ambapo

Bandari kavu ya Kwala inatarajiwa kuongeza ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam ambayo ni lango kuu la Kibiashara nchini.

Manufaa mtambuka ya bandari ya Kwala yatapelekea Tanzania kufunguka kiuchumi. 

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA May 28, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 28, 2023
Next Article Picha: Yanayojiri kwa Benjamini Mkapa, mashabiki wafurika nje kushuhudia mechi ya Yanga SC dhidi ya USM Alger
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
Top Stories December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
Entertainment December 9, 2023

You Might also Like

Entertainment

‘Ulivyo muongo, ndivyo mzunguko wako utakuwa mkubwa’ – Burna Boy

December 8, 2023
Entertainment

‘Hii ni sababu ya kwa nini napenda familia zenye wake wengi’ – Teni

December 8, 2023
Entertainment

Rapper Kodak Black, akamatwa baada ya kupatikana na dawa za kulevya aina ya cocaine

December 8, 2023
Entertainment

Daddy Yankee, amestaafu rasmi muziki sasa ‘kuhubiri ulimwengu habari za Yesu’

December 7, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?