fB insta twitter

Tutarajie mtoto kutoka kwa Barakah The Prince na Naj?

By

on

Leo January 17 2017 kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa mwanamziki wa Bongo fleva Barakah the prince amewathibitishia mashabiki wake kwamba yuko karibuni kupata mtoto na mpenzi wa muda mrefu Naj.

Kupitia mtandao huo Barakah ameandika ” Tumeumbwa kuijaza dunia na hawa ma singa singa nakungoja mwana kwa ham” akamalizia kwa kumtag mpenzi wake huyo Naj.

ULIKOSA YA NAJ KUYAONGEA HAYA KAMA NI KWELI ANA MIMBA YA BARAKA? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

 

Soma na hizi

Tupia Comments