Top Stories

Barabara mbovu Ubungo yatazamwa “Serikali haibagui Wapinzani, hela zipo” (+video)

on

Hatimaye barabara ambayo ilikuwa ni kero ya muda mrefu kwa Wakazi wa Ubungo ya Kibo kuelekea Ubungo Msewe imeanza kurekebishwa leo April 9, 2020.

AyoTV imeongea na Meya wa Ubungo Boniface Jacob “Jitihada kubwa za Halmashauri kutenga fedha na kupeleka TARURA na hela ilikuwepo tumewa-push TARURA kwenye vikao, hatimaye kazi inafanywa na Mkandarasi MPEHA kwa Million 154 katika Barabara 4”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments